sw_tn/act/24/01.md

53 lines
1.1 KiB
Markdown

# Sentensi unganishi
Paulo sasa yuko kwenye misukosuko. Tertulo anawasilisha mashitaka kwa Liwali Feliki dhidi ya Paul.
# Baada ya siku tano
"Siku tano baada ya askari wa Kirumi kumchukua Paul kwenda Kaisaria"
# Anania
Angalia jinsi gani unaweza kulitafasiri katika 23:1
# msemaji
"mwanasheria." Tertulo alikuwa mtaalam wa sheria ya Kirumi. Alikuwa huko kumshtaki Paul mahakamani.
# Tertulo
Hili ni jina la mtu mwanamume.
# walikwenda huko
"alienda Kaisaria ambako Paulo alikuwa"
# alisimama mbele ya Gavana
"mbele ya Gavana ambaye alikuwa jaji wa mahakama"
# akaanza kumshtaki
"alianza kuleta ukiukwaji wa sheria ya Kirumi dhidi yake"
# tuna amani kubwa
"sisi, raia tulio chini ya utawala wa Felix tuna amani kubwa"
# na kwa maono yako yanaleta mageuzi mazuri katika taifa letu
"na kupitia mipango yako mizuri imeleta mabadiliko makubwa katika taifa letu"
# Feliki
Angalia jinsi gani unaweza kuitafasili katika
# na mtizamo wako huleta mageuzi nzuri kwa taifa letu
"na mipango yako imeboresha sana taifa letu"
# Mweshimiwa Felix
Angalia jinsi gani unaweza kuitafasili katika 23:25