# Sentensi unganishi Paulo sasa yuko kwenye misukosuko. Tertulo anawasilisha mashitaka kwa Liwali Feliki dhidi ya Paul. # Baada ya siku tano "Siku tano baada ya askari wa Kirumi kumchukua Paul kwenda Kaisaria" # Anania Angalia jinsi gani unaweza kulitafasiri katika 23:1 # msemaji "mwanasheria." Tertulo alikuwa mtaalam wa sheria ya Kirumi. Alikuwa huko kumshtaki Paul mahakamani. # Tertulo Hili ni jina la mtu mwanamume. # walikwenda huko "alienda Kaisaria ambako Paulo alikuwa" # alisimama mbele ya Gavana "mbele ya Gavana ambaye alikuwa jaji wa mahakama" # akaanza kumshtaki "alianza kuleta ukiukwaji wa sheria ya Kirumi dhidi yake" # tuna amani kubwa "sisi, raia tulio chini ya utawala wa Felix tuna amani kubwa" # na kwa maono yako yanaleta mageuzi mazuri katika taifa letu "na kupitia mipango yako mizuri imeleta mabadiliko makubwa katika taifa letu" # Feliki Angalia jinsi gani unaweza kuitafasili katika # na mtizamo wako huleta mageuzi nzuri kwa taifa letu "na mipango yako imeboresha sana taifa letu" # Mweshimiwa Felix Angalia jinsi gani unaweza kuitafasili katika 23:25