sw_tn/act/21/15.md

21 lines
408 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Huu ni mwisho wa kipindi cha Paulo kuwa huko Kaisaria.
# Taarifa ya jumla
Neno 'sisi' linamhusu Luka, Paulo na wale waliosafiri pamoja nao.
# Pamoja walimleta mtu
"Miongoni mwao alikuwemo mtu mwingine"
# Mnasoni, mtu kutoka Kupro
Mnasoni alikuwa mtu kutoka kisiwa cha Kupro.
# mwanafunzi wa kwanza
Hii inamaanisha Mnason alikuwa muumini wa Yesu aliyeamini mwanzoni mwa huduma.