# Sentensi unganishi Huu ni mwisho wa kipindi cha Paulo kuwa huko Kaisaria. # Taarifa ya jumla Neno 'sisi' linamhusu Luka, Paulo na wale waliosafiri pamoja nao. # Pamoja walimleta mtu "Miongoni mwao alikuwemo mtu mwingine" # Mnasoni, mtu kutoka Kupro Mnasoni alikuwa mtu kutoka kisiwa cha Kupro. # mwanafunzi wa kwanza Hii inamaanisha Mnason alikuwa muumini wa Yesu aliyeamini mwanzoni mwa huduma.