forked from WA-Catalog/sw_tn
25 lines
484 B
Markdown
25 lines
484 B
Markdown
# Taarifa ya jumla
|
|
|
|
Paulo anaendeleza mjadala wake pamoja na waumini wapya huko Efeso.
|
|
|
|
# mlibatizwa katika nini?
|
|
|
|
"Ubatizo wa aina gani mliobatizwa?"
|
|
|
|
# Katika Ubatizo wa Yohana
|
|
|
|
"Tuliupokea ubatizo kupitia mafundisho aliyokuwa akifundisha Yohana"
|
|
|
|
# Ubatizo wa toba
|
|
|
|
"Ubatizo ambao watu waliuomba wakati walipotaka kugeuka kutaka kutubu dhambi zao
|
|
|
|
# yule ambaye angekuja
|
|
|
|
Hapa neno "Yule" linamaanisha Yesu.
|
|
|
|
# kuja baada yake
|
|
|
|
Hii inamaanisha angekuja baada ya Yohana Mbatizaji.
|
|
|