# Taarifa ya jumla Paulo anaendeleza mjadala wake pamoja na waumini wapya huko Efeso. # mlibatizwa katika nini? "Ubatizo wa aina gani mliobatizwa?" # Katika Ubatizo wa Yohana "Tuliupokea ubatizo kupitia mafundisho aliyokuwa akifundisha Yohana" # Ubatizo wa toba "Ubatizo ambao watu waliuomba wakati walipotaka kugeuka kutaka kutubu dhambi zao # yule ambaye angekuja Hapa neno "Yule" linamaanisha Yesu. # kuja baada yake Hii inamaanisha angekuja baada ya Yohana Mbatizaji.