sw_tn/act/17/32.md

21 lines
655 B
Markdown

# Taarifa unganishi
Hii ni sehemu ya mwisho wa hadithi kuhusu Paulo akiwa huko Athene
# na watu wa Athene
Wale watu waliokuwepo pale Areopago wakimsikiliza Paulo
# baadhi yao wakamdhihaki Paulo
Wale hawakuamini kuwa inawezekana kwa mtu yeyote kufa na kurudi tena kwenye maisha. "Baadhi walimdharau" au "baadhi walimcheka Paulo"
# Sisi tutakusikiliza
"sisi" inarejea watu wa Athene ambao walitaka kumsikiliza Paulo. Waliongea moja kwa moja kwa Paulo lakini si pamoja Paul katika kundi lao."
# Dionisio Mwareopago, na Mwanamke anaitwa Damari
Dionysius ni jina la mtu. Areopago ina maana kwamba Dionysius alikuwa mmoja wa majaji katika Areopago.