# Taarifa unganishi Hii ni sehemu ya mwisho wa hadithi kuhusu Paulo akiwa huko Athene # na watu wa Athene Wale watu waliokuwepo pale Areopago wakimsikiliza Paulo # baadhi yao wakamdhihaki Paulo Wale hawakuamini kuwa inawezekana kwa mtu yeyote kufa na kurudi tena kwenye maisha. "Baadhi walimdharau" au "baadhi walimcheka Paulo" # Sisi tutakusikiliza "sisi" inarejea watu wa Athene ambao walitaka kumsikiliza Paulo. Waliongea moja kwa moja kwa Paulo lakini si pamoja Paul katika kundi lao." # Dionisio Mwareopago, na Mwanamke anaitwa Damari Dionysius ni jina la mtu. Areopago ina maana kwamba Dionysius alikuwa mmoja wa majaji katika Areopago.