sw_tn/act/11/01.md

41 lines
889 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Petro anaingia Yerusalemu na anaanza kuongea na Wayahudi wa huko.
# Maelezo ya jumla
Huu ni mwanzo wa tukio jipya katika simlizi
# Sasa
Linaashiria sehemu mpya ya simlizi
# Ndugu
"Ndugu" Linamaanisha waumini katika Yudea.
# waliokuwa Yudea
"Waliokuwa wakiishi mkoa wa Yudea"
# Walikuwa wamelipokea neno la Mungu
Linamaanisha kuwa Wamataifa walikuwa wameupokea ujumbe wa Injili kuhusu Yesu. "Waliamini ujumbe wa Mungu kuhusu Yesu Kristo".
# Walikuwa wamepanda kwenda Yerusalemu
Yerusalemu ilikuwa juu zaidi ya kila eneo la Israeli. hivyo ilikuwa kawaida kwa Waisraeli kusema wanapanda juu kwenda Yerusalemu.
# lile kundi la watu waliotahiriwa
Wayahudi walioamini kwamba kila anayeamini lazina atahiriwe.
# watu wasiotahiriwa
Linamaanisha, "watu wa Mataifa"
# Alikula pamoja nao
Ilikuwa kinyume kwa utamaduni wa Wayahudi, Wauahudi kula na Wamataifa.