sw_tn/act/10/intro.md

903 B

Matendo 10 Maelezo kwa Jumla

Dhana maalum katika sura hii

Chafu(Najisi)

Wayahudi waliamini kwamba waliamini walitembelea ama kula na watu wa mataifa. Hii ni kwa sababu Wafarisayowalikuwa wameunda sheria kinyume nayo kwa vile walitaka watu wasikule chakula ambacho sheria Musa ilisema ni najisi. Sheria ya Musa ilisema kwamba chakula kingine kilikuwa najisi lakini haikusema kwamba watu hawakustahili kutembelea ama kula na watu wa mataifa. (Tazama:rc://en/tw/dict/bible/kt/clean and rc://en/tw/dict/bible/kt/lawofmoses)

Ubatizo na Roho Mtakatifu

Roho Mtakatifu aliwakujia waliokuwa wakimsikiza Petero. Hii inaonyesha Waumini Wayahudi kwamba watu wa Mataifa wangepokea neno la Mungu na kupokea Roho Mtakatifu vile waumini Wayahudi walivyopokea. Baada ya hiyo,Watu wa Mataifa walibatizwa.

<< | >>