sw_tn/act/10/46.md

21 lines
758 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Huu ni mwisho wa sehemu ya simlizi kuhusu Kornerio.
# wamataifa wanaongea kwa lugha zingine na kumwabudu Mungu
Zilijulikana kuwa ni lugha zilizokuwa zinatamkwa na waliojazwa na Roho Mtakatifu, kilichofanya Wayahudi kukubali kwamba wamataifa nao walikuwa wakimtukuza Mungu.
# Kuna mtu yeyote anaweza kuzuia maji ili watu wasibatizwe, Watu hawa wamempokea Roho Mtakatifu kama sisi?
Petro alilitumia swali hili kuwashawishi Wayahudi wakristo kwamba Wamataifa walioamini wanaweza kubatizwa.
# Ndipo akawaamuru wabatizwe
Inamaanisha kwamba Wayahudi wakristo ndio waliowabatiza Wamataifa siku hiyo.
# wabatizwe kwa jina la Yesu Kristo
"Kwa Jina la Yesu Kristo" Linaelezea kuwa sababu ya kubatizwa kwao ni kwa kumwamini Yesu Kristo.