sw_tn/act/09/13.md

21 lines
607 B
Markdown

# Watu wako watakatifu
Neno "Watu watakatifu" linamaana ya Wakristo. "Watu wa Yerusalemu waliokwisha kumwamini Yesu"
# ana mamlaka kutoka kwa kuhani mkuu kumkamata kila mmoja
Inamaana Sauli amepewa nguvu na mamlaka na Kuhani Mkuu, lakini yalikuwa na mipaka kwani ilikuwa ni kwa Wayahudi tu.
# Yeye ni chombo teule kwangu
"chombo teule" ni hali ya kutengwa maalumu kwa ajuli ya huduma. "Nimemchagua yeye ili anitumikie.
# Kubeba jina langu
Hii ni hali ya kumuelezea na kuongelea kuhusu Yesu. ili anipeleke mimi kwa watu.
# Kwa ajili ya jina langu
Hii ni hali ya kuwaelezea watu kuhusu mimi (Yesu).