# Watu wako watakatifu Neno "Watu watakatifu" linamaana ya Wakristo. "Watu wa Yerusalemu waliokwisha kumwamini Yesu" # ana mamlaka kutoka kwa kuhani mkuu kumkamata kila mmoja Inamaana Sauli amepewa nguvu na mamlaka na Kuhani Mkuu, lakini yalikuwa na mipaka kwani ilikuwa ni kwa Wayahudi tu. # Yeye ni chombo teule kwangu "chombo teule" ni hali ya kutengwa maalumu kwa ajuli ya huduma. "Nimemchagua yeye ili anitumikie. # Kubeba jina langu Hii ni hali ya kumuelezea na kuongelea kuhusu Yesu. ili anipeleke mimi kwa watu. # Kwa ajili ya jina langu Hii ni hali ya kuwaelezea watu kuhusu mimi (Yesu).