sw_tn/act/09/08.md

17 lines
287 B
Markdown

# alipofungua macho
Hii inamaanisha Sauli aliyafunga macho kwasababu ya mwanga ulikuwa mkali.
# Hata asionne chochote
Sauli alikuwa kipofu.
# hakuweza kuona kitu
"Alikuwa kipofu" au "hakuweza kuona chochote"
# Hakuweza kula wala kunywa
"hakuweza kula wala kunywa hakuwa na njaa"