# alipofungua macho Hii inamaanisha Sauli aliyafunga macho kwasababu ya mwanga ulikuwa mkali. # Hata asionne chochote Sauli alikuwa kipofu. # hakuweza kuona kitu "Alikuwa kipofu" au "hakuweza kuona chochote" # Hakuweza kula wala kunywa "hakuweza kula wala kunywa hakuwa na njaa"