sw_tn/act/08/01.md

37 lines
973 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Simlizi inamalizika kumhusu Stefano, kuanzia sura hii ya 8 simlizi inaanza kumtaja Sauli.
# siku hiyo ndipo alipoanza... isipokuwa mitume.
Sehemu ya mstari huu wa 1 ni habari inayoeleza kuanza kwa mateso kwa watu wa njia ile baada ya kifo cha Stefano. Unaelezea sababu za Paulo kuanzisha mateso hayo kwa waumini.
# Siku hizo
Hii inahusu siku ambayo Stefano aliuawa,
# Waaminio wote walitawanyika
Hii ni inavumisha wengi au zaidi ya waamini wa Yerusalem waliyakimbia mateso.
# Isipokuwa mitume
Inadhihirisha kwamba mitume walibaki Yerusalem ingawa hawakuyazoea hayo mateso makubwa
# Watu wacha Mungu
"Watu wenye hofu ya Mungu" au "Watu waliomuogopa Mungu
# Wakafanya maombolezo makubwa
"Wakalia sana ...juu yake"
# Aliwaburuza wanaume na wanawake
Sauli aliwachukua kwa nguvu Wayahudi waamini na kuwatoa nje ya nyumba zao na kuwatupa gerezani.
# Wanaume na wanawake
inaelezea juu wanaume na wanawake ambao waliokuwa wamemwamini Yesu.