# Sentensi unganishi Simlizi inamalizika kumhusu Stefano, kuanzia sura hii ya 8 simlizi inaanza kumtaja Sauli. # siku hiyo ndipo alipoanza... isipokuwa mitume. Sehemu ya mstari huu wa 1 ni habari inayoeleza kuanza kwa mateso kwa watu wa njia ile baada ya kifo cha Stefano. Unaelezea sababu za Paulo kuanzisha mateso hayo kwa waumini. # Siku hizo Hii inahusu siku ambayo Stefano aliuawa, # Waaminio wote walitawanyika Hii ni inavumisha wengi au zaidi ya waamini wa Yerusalem waliyakimbia mateso. # Isipokuwa mitume Inadhihirisha kwamba mitume walibaki Yerusalem ingawa hawakuyazoea hayo mateso makubwa # Watu wacha Mungu "Watu wenye hofu ya Mungu" au "Watu waliomuogopa Mungu # Wakafanya maombolezo makubwa "Wakalia sana ...juu yake" # Aliwaburuza wanaume na wanawake Sauli aliwachukua kwa nguvu Wayahudi waamini na kuwatoa nje ya nyumba zao na kuwatupa gerezani. # Wanaume na wanawake inaelezea juu wanaume na wanawake ambao waliokuwa wamemwamini Yesu.