sw_tn/act/05/17.md

21 lines
551 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Viongozi wa dini walianza kuwatesa waumini
# Lakini
Neno "lakini" linaanzisha habari kinzani. Unaweza kutafasiri hii kwa namna ambavyo lugha yako hutambulisha habari kinzani.
# kuhani mkuu aliinuka,
Neno "kuinuka" linamaanisha Kuhani mkuu aliamua kuchukua hatua, si kwamba aliinuka tu kutoka kwenye kiti chake alichokikalia.
# na walijawa na wivu
Inamaanisha walijawa na wivu sana
# wakanyosha mikono yao kuwakamata mitume
Waliwakamata mitume kwa nguvu, kwa kuwa walikuwa wameagiza walinzi wao wapate kuwakamata mitume.