sw_tn/act/05/01.md

17 lines
531 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Maelezo ya namna wakristo walivyokuwa wakishirikiana mahitaji kwa baadhi ya wakristo kuuza mali zao. Luka anatuambia habari za waumini wawili Anania na Safira walivyohusika katika ushirika huo.
# Sasa
"Lakini sasa." Hii inaonyesha sehemu kumalizika na kuanza kwa maelezo ama habari mpya.
# Mke wake pia alilijua
"Mke wake pia alijua kuwa Mmewe alikuwa ametunza nyumbani sehemu ya fedha kwa mauzo ya shamba lao".
# kuiweka kwenye miguu ya mitume.
Inamaanisha kwamba waliwasilisha hiyo fedha kwa mitume.