sw_tn/act/04/26.md

13 lines
483 B
Markdown

# Sentensi unganiishi:
Waumini wanakamilisha nukuu yao kutoka kwa mfalme Daudi katika zaburi walizozianza
# Wafalme wa dunia wamejipanga pamoja, na watawala wamekusanyika kwa pamoja dhidi ya Bwana
Mistari hii miwili, Wafalme na Watawala kimsingi ni jambo moja kuonyesha unganiko la kufanya biidi katika kupinga kazi ya Mungu
# wamekusanyika kwa pamoja dhidi ya Bwana na dhidi ya masihi wake
Waliunganisha majeshi yao pamoja kupigana vitani. Au kuwa kinyume na Masihi wa Mungu.