sw_tn/act/03/01.md

25 lines
617 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Siku moja; Petro na Yohana wanakwenda hekaluni
# Maelezo ya jumla
Mstari wa 2 unatoa mazingira juu ya mtu aliyekuwa kiwete.
# ndani ya hekalu
"katika eneo la hekalu" au "katika hekalu." walikuwa hawakuenda ndani ya jengo la hekalu ambamo makuhani waliotumika tu ndio walikuwa wanaruhusiwa.
# Mtu fulani, kiwete tangu kuzaliwa, alikuwa akibebwa kila siku na alikuwa akilazwa katika mlango wa hekalu.
Kila siku watu walikuwa wakimbeba mtu huyo na kumlaza karibu na mlango wa hekalu.
# Kiwete
Asiyeweza kutembea
# mlango wa hekalu ulioitwa mzuri
Mlango wa hekalu uliokuwa ukiitwa mzuri.