# Sentensi unganishi Siku moja; Petro na Yohana wanakwenda hekaluni # Maelezo ya jumla Mstari wa 2 unatoa mazingira juu ya mtu aliyekuwa kiwete. # ndani ya hekalu "katika eneo la hekalu" au "katika hekalu." walikuwa hawakuenda ndani ya jengo la hekalu ambamo makuhani waliotumika tu ndio walikuwa wanaruhusiwa. # Mtu fulani, kiwete tangu kuzaliwa, alikuwa akibebwa kila siku na alikuwa akilazwa katika mlango wa hekalu. Kila siku watu walikuwa wakimbeba mtu huyo na kumlaza karibu na mlango wa hekalu. # Kiwete Asiyeweza kutembea # mlango wa hekalu ulioitwa mzuri Mlango wa hekalu uliokuwa ukiitwa mzuri.