sw_tn/act/02/43.md

25 lines
621 B
Markdown

# Hofu ikaja juu ya kila nafsi
watu walijawa na hofu na kicho cha Mungu ndani yao
# maajabu mengi na ishara zikafanyika kupitia mitume
Mungu alifanya miujiza na ishara nyingi kupitia wanafunzi wake.
# wote walikuwa pamoja
Inaweza kuwa, "wote waliamini jambo hilo moja" au " waumini wote walioamini walikuwa pamona katika sehemu moja"
# walikuwa na vitu vyote kwa ushirikiano
"walitumia mali zao kwa kumgawia kila mmoja na mwenzake"
# mali walizo miliki
Mashamba na vitu vingine vilivyokuwa wanavimiliki.
# kugawanya kwa wote kulingana na hitaji la kila mmoja.
Kila mmoja aligawiwa kulingana na uhitaji wake.