# Hofu ikaja juu ya kila nafsi watu walijawa na hofu na kicho cha Mungu ndani yao # maajabu mengi na ishara zikafanyika kupitia mitume Mungu alifanya miujiza na ishara nyingi kupitia wanafunzi wake. # wote walikuwa pamoja Inaweza kuwa, "wote waliamini jambo hilo moja" au " waumini wote walioamini walikuwa pamona katika sehemu moja" # walikuwa na vitu vyote kwa ushirikiano "walitumia mali zao kwa kumgawia kila mmoja na mwenzake" # mali walizo miliki Mashamba na vitu vingine vilivyokuwa wanavimiliki. # kugawanya kwa wote kulingana na hitaji la kila mmoja. Kila mmoja aligawiwa kulingana na uhitaji wake.