sw_tn/act/02/29.md

25 lines
611 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Petro anaendelea na hotuba yake aliyoianzisha kwa Wayahudi wanaomzunguka na kwa waumini wengine wa Yerusalemu.
# yeye alikufa na akazikwa
"He died and people buried him"
# kwamba ataweka mmoja katika uzao wake kwenye kiti cha enzi
"Mungu angemtuma mmoja wa uzao wa Daudi juu ya kiti cha enzi cha Daudi"
# Aliliona hili mapema
Mungu alijua hata kabla lilikuwa halijatokea.
# wala alikuwa hakuachwa kuzimu
Mungu hakumwacha Yesu kuzimu.
# wala mwili wake haukuoza.'
Mwili kuoza kunamaanisha kuteketea baada ya kifo. hivyo Mungu hakumwacha Yesu muda ambao hatA mwili wake uteketee.