# Sentensi unganishi Petro anaendelea na hotuba yake aliyoianzisha kwa Wayahudi wanaomzunguka na kwa waumini wengine wa Yerusalemu. # yeye alikufa na akazikwa "He died and people buried him" # kwamba ataweka mmoja katika uzao wake kwenye kiti cha enzi "Mungu angemtuma mmoja wa uzao wa Daudi juu ya kiti cha enzi cha Daudi" # Aliliona hili mapema Mungu alijua hata kabla lilikuwa halijatokea. # wala alikuwa hakuachwa kuzimu Mungu hakumwacha Yesu kuzimu. # wala mwili wake haukuoza.' Mwili kuoza kunamaanisha kuteketea baada ya kifo. hivyo Mungu hakumwacha Yesu muda ambao hatA mwili wake uteketee.