sw_tn/2ti/04/01.md

37 lines
766 B
Markdown

# Sentensi unganishi.
Paulo aliendelea kumkumbusha Timotheo awe mwaminifu na kwamba Paulo yuko tayari kufa
# Agizo lenye uzito
"Agizo la muhimu"
# Mbele za Mungu na ya Kristo Yesu
"katika uwepo wa Mungu na Kristo Yesu"
# walio hai na wafu
"walio hai na wafu" imetumika hapa kuwaelezea watu wote. "Watu wote waliowai kuishi"
# kwa sababu ya kufunuliwa kwake na Ufalme wake
"Ufalme" inasimama kuonesha utawala wa Kristo kama Mfalme. "Atakaporejea kutawala kama mfalme"
# Neno
"Neno" linamaanisha ujumbe. "Ujumbe kuhusu Kristo"
# Usiofaa
"muda usiofaa"
# Waambie watu dhambi zao
Kuwaambia watu makosa yao" au "kuwaambia watu kuwa walichofanya ni makosa"
# himiza, kwa uvumilivu wote na mafundisho
"himiza na kufundisha watu na kuwa mvumilivu juu yao"