sw_tn/2th/03/intro.md

762 B

2 Wathesalonike 03 Maelezo kwa jumla

Dhana muhimu katika sura hii

watu wasiofanya kazi na wavivu

atika mji wa Thesalonike, inaonekana kulikuwa na shida ya watu katika kanisa ambao walikuwa na uwezo wa kufanya kazi lakini wakakataa kufanya hivyo. (Tazama: rc://en/ta/man/translate/figs-explicit)

Utafanya nini ndugu yako akitenda dhambi?

Katika sura hii Paulo anawafundisha Wakristo kwamba wanastahili kuishi kwa njia inayomheshimu Mungu. Wakristo pia wanastahili kuhimizana na kuajibikiana wanachotenda.Kanisa pia lina wajibu wa kuwahimiza waumini kutubu wakati wanatenda dhambi. (Tazama: rc://en/tw/dict/bible/kt/repent and rc://en/tw/dict/bible/kt/sin)

__<< | __