sw_tn/2th/02/intro.md

929 B

2 Wathesalonike 02 Maelezo kwa jumla

Dhana muhimu katika sura hii

"Kukusanyika pamoja "ili tukae naye"

Kifungu hiki kinaashiria wakati ambapo Yesu anawaita wale wanaomwamini. Wasomi wanatofautiana iwapo hii inaashiria kurudi kwa Yesu kwa mwisho kwa utukufu ama kama si hivyo.(Tazama: rc://en/tw/dict/bible/kt/believe)

Mtu muasi

Hii ni sawa na "mwana wa uharibifu" na "yule muasi" katika sura hii.Paulo anamhusisha na Shetani ambaye anafanya kazi kwa bidii duniani. (Tazama: rc://en/tw/dict/bible/kt/antichrist)

Anakaa ndani ya hekalu la Mungu

Huenda Paulo anarejelea hekalu la Yerusalemu ambalo liliharibiwa na Warumi miaka chache baada ya kuandika hii barua. Ama anarejelea kwa hekalu lijalo la ukweli, ama kanisa kama hekalu la kiroho la Mungu.(Tazama: rc://en/ta/man/translate/figs-explicit)

<< | >>