sw_tn/2pe/02/07.md

29 lines
649 B
Markdown

# alimwokoa Ltu mtu wa haki
Mungu alimwokoa Lutu aliyeishi maisha ya tabia njema
# akitesa nafsi yake kwa ajili ya yale alyosikia na kuyaona
Lutu aliendelea kuteseka na kuhrasiwa na tabia za anasa za wenyeji wa Sodoma na Gomora
# tabia chafu za wsiofuata sheria
"anasa na tabia inayoharibika ya watu waliovunja sheria ya Mungu"
# mtu wa haki
Hii inamaanisha Lutu mtu wa haki
# watu wa Mungu
"watu wanaomtii Mungu"
# alikuwa akitesa roho yake
Aliusumbua utu wake wa ndani
# jinsi ya kuwavumilia waovu kwa ajil ya hukumu skatika siku ya mwisho
Watu wasio haki hawataiepuka hukumu ya Mungu. Watakapokufa watakataliwa mpaka siku ya hukumu