# alimwokoa Ltu mtu wa haki Mungu alimwokoa Lutu aliyeishi maisha ya tabia njema # akitesa nafsi yake kwa ajili ya yale alyosikia na kuyaona Lutu aliendelea kuteseka na kuhrasiwa na tabia za anasa za wenyeji wa Sodoma na Gomora # tabia chafu za wsiofuata sheria "anasa na tabia inayoharibika ya watu waliovunja sheria ya Mungu" # mtu wa haki Hii inamaanisha Lutu mtu wa haki # watu wa Mungu "watu wanaomtii Mungu" # alikuwa akitesa roho yake Aliusumbua utu wake wa ndani # jinsi ya kuwavumilia waovu kwa ajil ya hukumu skatika siku ya mwisho Watu wasio haki hawataiepuka hukumu ya Mungu. Watakapokufa watakataliwa mpaka siku ya hukumu