sw_tn/2pe/01/16.md

17 lines
508 B
Markdown

# Pale sauti iliposikika toka katika utukufu mkuu
Petro anamaanisha yeye mwenyewe na yule mwanafunzi mwingine, Yakobo, na Yohana waliposikia ile sauti ya Mungu.
# Kwa kuwa sisi hatukufuata hadithi zilizoingizwa kwa ustadi
Kwa kuwa sisis mitume hatukufuata hadtibzilizotengenezwa kwa ustadi
# Yetu
waumini wote ikijumuisha sisi mitume
# Pale tulipokuwa naye kwenye ule mlima matakatifu
Petro anamaanisha wakati ule Yesu alipobadilika sura yake ikang'aa mbele ya Petro, Yakobo na John (Tazama Mathayo)