# Pale sauti iliposikika toka katika utukufu mkuu Petro anamaanisha yeye mwenyewe na yule mwanafunzi mwingine, Yakobo, na Yohana waliposikia ile sauti ya Mungu. # Kwa kuwa sisi hatukufuata hadithi zilizoingizwa kwa ustadi Kwa kuwa sisis mitume hatukufuata hadtibzilizotengenezwa kwa ustadi # Yetu waumini wote ikijumuisha sisi mitume # Pale tulipokuwa naye kwenye ule mlima matakatifu Petro anamaanisha wakati ule Yesu alipobadilika sura yake ikang'aa mbele ya Petro, Yakobo na John (Tazama Mathayo)