forked from WA-Catalog/sw_tn
17 lines
624 B
Markdown
17 lines
624 B
Markdown
# kwa kuupima uhalisi wa upendo wenu kwa kuulinganisha na shauku ya watu wengine
|
|
|
|
Paulo anawatia moyo Wakorintho kutoa kwa ukarimu wao kwa kuulinganisha na ukarimu wa makanisa ya Makedonia.
|
|
|
|
# neema ya Bwana wetu
|
|
|
|
Katika mukutadha huu neno "neema" linasisitiza ukarimu wa Yesu Kristo amewabariki Wakorintho.
|
|
|
|
# Hata kama alikuwa tajiri, kwa ajili yenu alikuwa maskini
|
|
|
|
Paulo anamzungumzia Yesu kabkla hajafanyika mwanadamu alivyokuwa tajiri, na kwa kufanyika mwanadamu kama kuwa maskini.
|
|
|
|
# kupitia umaskini wake mweze kuwa tajiri.
|
|
|
|
Paulo anazungumzia Wakorintho kuwa matajiri kiroho kama matokeo ya Yesu kuwa mwanadamu.
|
|
|