sw_tn/1ti/05/19.md

21 lines
440 B
Markdown

# usipokee mashitaka
Paulo anaongea juu ya mashitaka kama vitu ambavyo vinaweza kushikika au kupokelewa na watu
# mbili au tatu
"angalau mbili" au "mbili au zaidi"
# wenye dhambi
hii inahusu mtu yeyote kufanya jambo lolote ambalo halimtii au yasiyompendeza Mungu, hata mambo ambayo watu wengine hawayajui.
# mbele ya watu wote
"ambapo kila mtu anaweza kuona"
# ili wengine wawe na hofu
"ili wengine waweze kuogopa kufanya dhambi"