sw_tn/1ti/03/intro.md

913 B

1 Timotheo 03 Maelezo kwa ujumla

Muundo na Mpangilio

1 Timotheo 3:16 huenda ni wimbo, shairi ama kanuni ya imani kanisa la mwanzo "lililotumia kuorodhesha mafundisho muhimu waumini wote walishiriki.

Dhana muhimu katika sura hii

Waangalizi na Mashemasi

Kanisa lilitumia vyeo tofauti vya viongozi wa kanisa. Vyeo vingine vilijumuisha, mzee, mchungaji na askofu. Neno "Mwaangalizi linaashiria maana ya luga ya awali katika misitari ya 1-2. Paulo anaandika kuhusu "Mashemasi" katika misitari ya 8 na 12 kama aina nyingine ya uongozi wa kanisa.

Maswala mengine ya matata katika tafsiri ya sura hii

Sifa za tabia

Sura hii inaorodhesha sifa chache ambazo lazima mwanaume anayetaka kuwa mwangalizi ama shemasi katika kanisa awe nazo. (Tazama: rc://en/ta/man/translate/figs-abstractnouns)

<< | >>