# 1 Timotheo 03 Maelezo kwa ujumla ### Muundo na Mpangilio 1 Timotheo 3:16 huenda ni wimbo, shairi ama kanuni ya imani kanisa la mwanzo "lililotumia kuorodhesha mafundisho muhimu waumini wote walishiriki. ### Dhana muhimu katika sura hii #### Waangalizi na Mashemasi Kanisa lilitumia vyeo tofauti vya viongozi wa kanisa. Vyeo vingine vilijumuisha, mzee, mchungaji na askofu. Neno "Mwaangalizi linaashiria maana ya luga ya awali katika misitari ya 1-2. Paulo anaandika kuhusu "Mashemasi" katika misitari ya 8 na 12 kama aina nyingine ya uongozi wa kanisa. ### Maswala mengine ya matata katika tafsiri ya sura hii #### Sifa za tabia Sura hii inaorodhesha sifa chache ambazo lazima mwanaume anayetaka kuwa mwangalizi ama shemasi katika kanisa awe nazo. (Tazama: rc://en/ta/man/translate/figs-abstractnouns) ## Links: * __[1 Timothy 03:01 Notes](./01.md)__ __[<<](../02/intro.md) | [>>](../04/intro.md)__