sw_tn/1th/05/12.md

17 lines
437 B
Markdown

# Ndugu,
Hapa "Ndugu" humaanisha walioamini wenzake
# tuwatambue wale wanaotumika
"Kuheshimu na kuthamini wale ambao wanashiriki katika kuongoza"
# na wale wanaowaongoza katika Bwana
Hii inamaanisha wale watu ambao Mungu amewaweka kutumika kama viongozi katika vikundi vya waumini sehemu mbalimbali.
# muwatambue na kuwapa heshima kwa upendo kwa sababu ya kazi yao
"Waheshimuni na kuwatii kwa kazi yao kwasababu mnawapenda wao"