# Ndugu, Hapa "Ndugu" humaanisha walioamini wenzake # tuwatambue wale wanaotumika "Kuheshimu na kuthamini wale ambao wanashiriki katika kuongoza" # na wale wanaowaongoza katika Bwana Hii inamaanisha wale watu ambao Mungu amewaweka kutumika kama viongozi katika vikundi vya waumini sehemu mbalimbali. # muwatambue na kuwapa heshima kwa upendo kwa sababu ya kazi yao "Waheshimuni na kuwatii kwa kazi yao kwasababu mnawapenda wao"