sw_tn/1th/04/16.md

25 lines
424 B
Markdown

# Bwana mwenyewe atashuka.
"Bwana mwenyewe atakuja chini"
# Malaika mkuu
Malaika mkuu
# Waliokufa katika Kristo watafufuka kwanza
Hapa anamaanisha kifo cha kimwili. "wale waliomwamini Yesu Kristo lakini walikufa watafufuka kwanza"
# Sisi tulio hai
Hapa "sisi" linamaanisha waamini wote.
# Pamoja nao
Neno "wao" linawaelezea waamini waliokufa.
# Tutaungana hewani ili kumlaki Bwana mawinguni.
Kumlaki Bwana Yesu