# Bwana mwenyewe atashuka. "Bwana mwenyewe atakuja chini" # Malaika mkuu Malaika mkuu # Waliokufa katika Kristo watafufuka kwanza Hapa anamaanisha kifo cha kimwili. "wale waliomwamini Yesu Kristo lakini walikufa watafufuka kwanza" # Sisi tulio hai Hapa "sisi" linamaanisha waamini wote. # Pamoja nao Neno "wao" linawaelezea waamini waliokufa. # Tutaungana hewani ili kumlaki Bwana mawinguni. Kumlaki Bwana Yesu