sw_tn/1th/04/07.md

13 lines
264 B
Markdown

# Mungu hakutuita kwa uchafu bali kwa utakatifu
Mungu alituita kuwa wasafi na watakatifu.
# Mungu hakutuita sisi
Neno "sisi" linamaanisha waamini wote.
# Yeye anayelikataa hili
"Yeyote asiyezingatia mafundisho haya" au "yeyote anayeyapuuzia mafundisho haya"