# Mungu hakutuita kwa uchafu bali kwa utakatifu Mungu alituita kuwa wasafi na watakatifu. # Mungu hakutuita sisi Neno "sisi" linamaanisha waamini wote. # Yeye anayelikataa hili "Yeyote asiyezingatia mafundisho haya" au "yeyote anayeyapuuzia mafundisho haya"