sw_tn/1th/03/01.md

33 lines
628 B
Markdown

# sentensi unganishi
Paulo anawambia waamini amemtuma Timotheo kuimarisha imani zao.
# Hatukuweza kuvumilia.
Neno "sisi" linawaelezea Paulo, Silivanus na Timotheo lakini sio waumini wa Thesalonike. au " hatukuweza kuwa na uvumilivu tukihofu juu yenu"
# Ilikuwa vyema kubaki kule Atheni peke yake.
"Ilikuwa vyema kwangu na Silivanus kubaki Atheni.
# Vyema
"Vizuri" au "yenye mantiki"
# Atheni
Huu ni Mji katika jimbo la Akaiya, ambapo kwa sasa huitwa Ugiriki.
# Ndugu yetu.
"Mkristo mwenzetu"
# Hakuna ambaye atasumbuliwa
"Hakuna atakayekuwa na matatizo" au hakuna atakaye ondolewa"
# Tumeteuliwa.
"Tumekusudiwa"