forked from WA-Catalog/sw_tn
797 B
797 B
Yeye mwenyewe
Hii inamaanisha Yesu kwa msisitizo.
Alichukua dhambi zetu
Njia ambazo Yesu alikubali lawama na adhabu kwa dhambi za watu wengine.
Dhambi zetu
Tukio lolote la "yetu" na "sisi" linamaanisha Petro na waumini anaowandika.
Katika mwili wake kwenye mti
Hii inamaaniasha wakati watu walipo muweka Yesu msalabani.
Kwa mateso yake umeponywa
"Mungu amekuponya kwa sababu watu walimwumiza Yesu."
Ninyi nyote
Neno "Nyinyi" linamaanisha waumini Petro anawaandika.
mulikuwa mukitembea mbali kama kondoo muliopote.
Petro anawafananisha waumini na kupoteza kondoo kwa kutokuwa na upendo bila Kristo.
lakini sasa mumerejea kwa mchungaji na mlezi wa nafsi zenu
Kama vile kondoo watarejea kwa mchungaji wao, waumini pia wamerejea kwa Yesu ambaye hutoa na kuwahifadhi.