# Yeye mwenyewe Hii inamaanisha Yesu kwa msisitizo. # Alichukua dhambi zetu Njia ambazo Yesu alikubali lawama na adhabu kwa dhambi za watu wengine. # Dhambi zetu Tukio lolote la "yetu" na "sisi" linamaanisha Petro na waumini anaowandika. # Katika mwili wake kwenye mti Hii inamaaniasha wakati watu walipo muweka Yesu msalabani. # Kwa mateso yake umeponywa "Mungu amekuponya kwa sababu watu walimwumiza Yesu." # Ninyi nyote Neno "Nyinyi" linamaanisha waumini Petro anawaandika. # mulikuwa mukitembea mbali kama kondoo muliopote. Petro anawafananisha waumini na kupoteza kondoo kwa kutokuwa na upendo bila Kristo. # lakini sasa mumerejea kwa mchungaji na mlezi wa nafsi zenu Kama vile kondoo watarejea kwa mchungaji wao, waumini pia wamerejea kwa Yesu ambaye hutoa na kuwahifadhi.