sw_tn/1pe/01/06.md

22 lines
485 B
Markdown

# Unafuraha katika hili
Neno hili linamaanisha baraka zote za
"hufurahi kwa kile Mungu amefanya"
# sasa ni muhimu kwako kujisikia huzuni
"sasa ni sawa na sahihi kwamba unajisikia huzuni"
# hiyo ni ya thamani zaidi kuliko dhahabu
"Mungu hufurahia imani yako zaidi kuliko yeye anayegundua dhahabu"
# ipi huangamia katika moto ambayo inachunguza imani yako
"ingawa dhahabu hujaribiwa na moto, haiwezi kudumu milele"
# katika ufunuo wa Yesu Kristo
"wakati Yesu Kristo anarudi"