sw_tn/1pe/01/06.md

485 B

Unafuraha katika hili

Neno hili linamaanisha baraka zote za "hufurahi kwa kile Mungu amefanya"

sasa ni muhimu kwako kujisikia huzuni

"sasa ni sawa na sahihi kwamba unajisikia huzuni"

hiyo ni ya thamani zaidi kuliko dhahabu

"Mungu hufurahia imani yako zaidi kuliko yeye anayegundua dhahabu"

ipi huangamia katika moto ambayo inachunguza imani yako

"ingawa dhahabu hujaribiwa na moto, haiwezi kudumu milele"

katika ufunuo wa Yesu Kristo

"wakati Yesu Kristo anarudi"