# Unafuraha katika hili Neno hili linamaanisha baraka zote za "hufurahi kwa kile Mungu amefanya" # sasa ni muhimu kwako kujisikia huzuni "sasa ni sawa na sahihi kwamba unajisikia huzuni" # hiyo ni ya thamani zaidi kuliko dhahabu "Mungu hufurahia imani yako zaidi kuliko yeye anayegundua dhahabu" # ipi huangamia katika moto ambayo inachunguza imani yako "ingawa dhahabu hujaribiwa na moto, haiwezi kudumu milele" # katika ufunuo wa Yesu Kristo "wakati Yesu Kristo anarudi"