sw_tn/1ki/20/41.md

13 lines
328 B
Markdown

# kwa kuwa umemwachia aende
"umemwachia" au "umemwacha hai"
# maisha yako yatachukua nafasi ya maisha yake na watu wako kwa watu wake
"utakufa badala yake, na watu wako watakufa kwa nafasi ya watu wako"
# moyo mzito na mwenye hasira
Maneno haya mawili yanamaanisha kitu kilekile. Yametumika kuonesha uzito wa hisia zake.